tag:blogger.com,1999:blog-814898727021406075.post1010944560649035867..comments2024-03-05T20:57:16.190+03:00Comments on Umeme Forum: TANESCO yatoa ufafanuzi - kukatika katika Umemeumemeforumhttp://www.blogger.com/profile/04548745584127628516noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-814898727021406075.post-74290022223105202022012-03-31T15:21:04.089+03:002012-03-31T15:21:04.089+03:00Tanesco mnafanya kazi kubwa sana katika nchi hii h...Tanesco mnafanya kazi kubwa sana katika nchi hii hilo linafahamika japokuwa baadhi ya watanzania watapinga hilo. kwa nini? watanzania huwa hatupendi kukubali ukweli hasa penye tatizo ambalo lipo wazi.lakini nikirudi upande wa shirika kwa ujumla mapungufu yapo basi myatumie mapungufu hayo kama changa moto kwenu.mara nyingi sisi wateja huwatunafahamu matatizo mbalimbali yanayotokea lakini TAARIFA ni kitu muhimu sana kwetu sisi wateja.Nimpongeze tu kijana mmoja huwa tunamwona maeneo mbalimbali kama vile G/mboto,Vingunguti akifanya matangazo ya kuhamasisha wateja kuomba umeme,mapambano zidi ya vishoka,njia za kununua luku,misamaha ya riba na matatizo mbalimbali ya umeme yanapojitokeza na nk.,pia <br />nilimwona akifanya matangazo ya kuwaondoa wamachinga na aina mbalimbali ya matangazo yanayohusu shirika la umeme Tanesco.tunampongeza sana lakini mpeni tangazo linalo husu upatikanaji wa mita na sisi tunaotumia mita za kuchomeka kadi wapi tununue? hatujaona akitueleza wapi tununue umeme.lakini tunasikitika kuona gari analotumia kufanya kazi hiyo halipo sahii ukizingatia na shirika lilivyo kwani halipo kimatangazo tungetegemea kuona gari linabandikwa matangazo mbalimbali, msema matangazo anayunifomu.hakuna kampuni inayofanya vizuri bila matangazo kwani hali ya sasa ni ya ushindani zaidi angalieni makapuni ya simu, viwanda vya sabuni na mengine mengi sasa hivi hata wamachinga wanafanya promotion hamkeni Tanesco na pia mlifanye shirika kuwa la kibiashara na sio la kisiasa kama linavyoonekana.NAAMINI KUWA UWEZO MNAO, NIA MNAYO BADILIKENI.tAARIFA NIKITU MUHIMU SANA.WATU WA MITA RUSHWA IMEZIDI KWA MAFUNDI WENU MPAKA CUSTOMER CARE. CASH OFISI ZENU A/C HAKUNA WAKATI BILI ZINALIPWA NAKO TATIZO NI NINI?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-814898727021406075.post-15789743950462147202012-03-21T18:42:17.543+03:002012-03-21T18:42:17.543+03:00Mbona hajaelezea tatizo la upatikaji wa mita?Mbona hajaelezea tatizo la upatikaji wa mita?Anonymousnoreply@blogger.com