- Nguzo 22 zaanguka kwa upepo mkali
Pages
▼
April 24, 2012
HASARA KUBWA KWA TANESCO
April 12, 2012
TUTAWAONDOA WALIOVAMIA NJIA ZA UMEME-MKUU WA MKOA DSM
Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick. wa kwanza toka kushoto ni Mkurugenzi Mtendeja Tanesco, Eng. William Mhando na Kulia ni Kamanda wa Kanda Maalum, Afande Kova. |
Baada ya zoezi la kuwaondoa
wafanyabiashara ndogo ndogo waliokuwa wamevamia maeneo yanayozunguka mitambo ya
umeme na jengo la Makao Makuu ya TANESCO (Umeme Park), kufanikiwa Kamati ya
ulinzi na usalama kupitia mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Sadik zoezi hilo
ni endelevu kwa maeneo yote yaliyovamiwa.