Pages
(Move to ...)
HOME
PODCAST
CORE BUSINESS
EVENTS
▼
November 25, 2022
CHANGAMOTO ZA UPUNGUFU WA UMEME KUPATIWA UFUMBUZI
›
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeelezea sababu za uwepo wa upungufu wa umeme kuwa unasababishwa na ukame pamoja na matengenezo king...
May 19, 2022
WAZIRI MAKAMBA AELEZA SABABU ZA KUKATIKA KWA UMEME NCHINI
›
Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba leo Mei 19, 2022 ameshiriki ziara ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Samia Suluhu Hassan Mkoani...
May 7, 2022
TANESCO KUOKOA TAKRIBANI BIL.1.7 NGORONGORO
›
Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Umeme nchini (TANESCO) imekamilisha ujenzi wa mradi wa umeme wenye thamani ya shilingi bil. 2.9 wa...
February 11, 2022
MABORESHO KWENYE VISIMA VYA GESI SONGOSONGO YAKAMILIKA
›
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)limetangaza kukamilika kwa siku kumi za matengenezo ya mifumo katika visima vya gesi vilivyopo Songoson...
January 31, 2022
MAHARAGE AWATOA HOFU WATANZANIA KUHUSU UPATIKANAJI WA UMEME KATIKA KIPINDI CHA MATENGENEZO YA VISIMA VYA GESI ASILIA
›
Shirika la umeme Tanzania TANESCO limewatoa hofu wateja wake kuhusu hali ya upatikanaji umeme nchini wakati wa uboreshaji wa mfumo wa gesi a...
January 28, 2022
TANESCO KUFANYA MABORESHO KWENYE VITUO VYAKE VYA UZALISHAJI UMEME VYA KINYEREZI I NA UBUNGO III
›
Katika jitihada za kuboresha upatikanaji wa umeme nchini, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), linaendelea na maboresho kwenye vituo vyake v...
January 15, 2022
TANESCO KUENDELEA KUUNGANISHA UMEME KWA GHARAMA YA ELFU 27,000 MAENEO YA VIJIJINI
›
Meneja Mwandamizi Kanda ya Kati, Mhandisi Frank Chambua Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewahakikishia ...
September 26, 2021
TANESCO MPYA IMEZALIWA LEO, TUNATAKA IENDESHWE KIBIASHARA- Waziri Makamba
›
Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema ni wakati sasa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kuanza kujiendesha kibiashara, kwa ufan...
1 comment:
September 4, 2021
MIRADI YA KIMKAKATI YA NISHATI ITAKAMILIKA KWA WAKATI
›
Naibu Katibu Mkuu Nishati, Bw. Kheri Mahimbali amesema miradi yote ya kimkakati ya umeme inayotekelezwa na Serikali kupitia TANESCO itak...
September 3, 2021
Mkandarasi JNHPP ameshalipwa trilioni 2.7
›
Mkurugenzi Mtendaji TANESCO, Dkt. Tito Mwinuka amesema Mkandarasi anaetekeleza mradi wa Julius Nyerere (JNHPP) Mw 2115 ameshalipwa juml...
›
Home
View web version