Pages

May 23, 2013

SHIRIKA LA UGAVI WA UMEME TANZANIA TANGAZO LA KATIZO LA UMEME

Shirika La Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) Linasikitika kuwataarifu wateja wake wa Mikoa ya Ilala na Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:- .

MKAO WA ILALA::

TAREHE NA MUDA SABABU MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
25/05/2013 03:00Asubhi hadi 11:00Jioni Kukata matawi ya miti, Kukaza na kuimarisha nyaya za maungio, Kukaza nyaya zilizolegea na kubadilisha nguzo zilizooza, Ngome Upanga, PCCB Upanga, Diamond Jubilee, part of Upanga East na maeno yanayozunguka
25/05/2013 03:00Asubhi hadi 11:00Jioni Kukata matawi ya miti, Kukaza na kuimarisha nyaya za maungio, Kukaza nyaya zilizolegea na kubadilisha nguzo zilizooza Hospitali ya Aghakhan, Sehemu ya Upanga Mashariki, Kituo cha Polisi- Salender, Maeno ya Ocean road, Hoteli yaPalm Beach na maeneo yanayozunguka.

MKOA WA KINONDONI KUSINI:

TAREHE NA MUDA SABABU MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
25/05/2013 03:00Asubhi- 11:00Jioni Kufanya matengenezo katika kituo cha kupozea umeme cha Tandale na kubadilisha nguzo zilizooza. Sinza Uwanja wa TP, Sinza Vaticani ,Namnani Hotel, Iteba, Sinza Kijiweni, Sinza Kumekucha,Sinza Mwika, Tandale Magharibi, Tandale Uzuri, Manzese uzuri, Manzese Tip top, Manzese darajani, Msikiti wa Kione, Manzese Kwa Mfuga Mbwa, Manzese RC church, Ofisi za Kampuni ya simu, Urafiki Quarters, Tandale kwa Mtogole, Tandale kwa Ally Maua, Tandale Behobeho, Tandale kwa Tumbo, Tandale Shuleni, Kanisa Katoliki Tandale, Tandale Sokoni, Tandale dispensary, Urafiki Textile, TSP Ltd Millenium business, Sinza Lion Hotel, Rombo Sun flower, Strabag compound, Engen petrol station, Manzese Hill Top, Tandale Chakula Bora, Maeneo yote ya Bondeni Bar, Manzese Mwembe Mkole, Manzese Bingo, Urafiki China residence na maeneo yanayozunguka.

Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo: Mkoa wa Ilala 022 213 3330, 0784 768586, Mkoa wa Kinondoni Kusini 0222171762 – 65, 0784271461, 0715271461, Au namba za Huduma kwa Wateja 2194400 or 0768 985100.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza