Shirika la Umeme
Tanzania (TANESCO) linawatarifu
wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme
siku ya IJUMAA tarehe 31/10/14, kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi 011:00
Jioni. Sababu ni Matengenezo katika
kituo cha Tegeta.
MAENEO
YATAKAYOATHIRIKA NI:-
Bahari beach, Kondo village, Ununio, Ras
Kilomoni, Budget hotel, Tegeta CCM, Chanika, Njia
panda ya wazo factory, Tegeta masaiti, Tegeta Namanga, Boko Basihaya, Boko CCM,
Boko Maliasili, Boko National Housing, Ndege beach, Mbweni Kijijini, nyumba 151
za Serikali/Mh.Magufuli, Bakili Muluzi school, kwa Kala mweusi, Mbweni Mpiji, Wazo
quorters, Dogodogo centre, uwanja wa Nyuki, Ofisi ya Raisi flats. Kunduchi yote, Kunduchi Pwani, Kunduchi
Recruitment Training School (RTS) of TPDF,Mbuyuni, MECCO, JKT machimbo, Tegeta
darajani, Salasala kwa Mboma, Kilimahewa, Salasala Benaco, RTD Salasala, Salasala
Kijijini, Green Acres school,Part of Kilongawima, Mbezi Africana, T-square bar,
mbezi Majumba sita, Lugalo Salasala, Kinzudi, Goba,
baadhi ya Maeneo salasala,Wazo kwa
Makamba,Wazo mji mpya, Shule ya Sekondari wazo, Mivumoni, Madale, madale
scourt, Bunju, Twiga Cement ,Salasala magengeni. Lugalo Military base, Lugalo Hospital, Maeneo
yote ya Kawe, NBC Kawe, 2000 Industries Ltd, Majembe Auction Mart Mwenge, Mbezi
Tangi bovu, Mbezi Lyagunga, Mbezi Zawadi, Shoko, Mwenge Survey, Kituo cha
Mabasi Mwenge. Mbezi bondeni, Mtaa
wa Luvent, Mtaa wa Almas, Mwl Nyerere
school, Mbezi Maguruwe,simba rd, Barabara ya Chui, Barabara Aly Sykes, Mtaa wa
Beach, BOT Mbezi ,TTCL Mbezi beach, Barabara ya Zena Kawawa, Kanisa la
Katolikui Mbezi beach, Mbezi miti mirefu, uwanja wa walenga shabaha, Jangwani
beach, Belinda, Giraffe, Whitesands, and Green Manner hotels, baadhi ya
Maeneo Kilongawima, NMC quorters. Mbezi juu, Mbezi samaki, Baraza la Mitihani
Mbezi, St.Marys school mbezi, Mbezi garden, Ndumbwi, Mbezi kwa Msomali, Mbezi
Makonde, Mbezi Machakani, Mbezi NSSF, Mbezi Masoko ya kariakoo flats, Mbezi
Jogoo, Art Garlery, Agape Television, Kiwanda cha Maaza juice, Polypet ,
Interchik, na Chemi& Cotex.
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia
simu zifuatazo 022 2700367,
0784 768584, 0716 768584 Au huduma kwa wateja namba 2194400.
Uongozi
unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:- OFISI
YA UHUSIANO,
TANESCO
– MAKAO MAKUU.