Pages

March 5, 2012

TANESCO mkoa wa Ilala wafungua Ofisi mpya ya wilaya ya Tabata, Gongolamboto na Ofisi ya TANESCO Viwandani

Dada Penina wa kitengo cha dharura, wilaya Gongolamboto
 akiwa katika kazi zake za kila siku.
Katika kuboresha na kusogeza huduma kwa wateja wa huduma ya umeme mkoani Ilala, Shirika la Tanesco limefungua ofisi ya wilaya ya Tabata. Kabla ya ofisi hii mteja toka Tabata alitakiwa kwenda ofisi za TANESCO Mkoa  Ilala zilizopo katikati ya mji ili kufuata huduma mbalimbali zinazotolewa na TANESCO mkoa. Kwa sasa mteja wa TANESCO wilaya ya Tabata wataenda Tabata shule nyuma , ambapo ndipo ofisi za wilaya zilipo.

Shirika la Tanesco limefungua ofisi ya wilaya ya Gongolamboto. Ofisi ya Wilaya Gongolamboto ipo barabara iendayo kitunda, mita miambili toka jingo la hali ya hewa. Na ofisi za TANESCO Viwandani ipo ndani ya majendo ya TAZARA.  


Meneja wa Ofisi TANESCO Viwandani,Mhandisi Madda Mfinanga 
alipokuwa akiongea na Afsa Habari wa TANESCO hayupo pichani.
 



Gari ya Dharura la TANESCO wilaya ya Gongolamboto.



1 comment:

  1. We as stakeholders of this blog we have to utilise it effectively.Our customers being No. 1 stakeholders should participate in viewing this blog and share with us their various views partaining our products and services not only in +VE views but also in -VE ones.
    godfrey congratulation for this and let's look for various sponsers to this blog.I have put the adress in my noticeboads for both internal and external customers to visit this blog so as it can be live and everlasting.Thanks,
    Lucas.

    ReplyDelete