Pages

August 20, 2013

KATIZO LA UMEME

KATIZO LA UMEME MKOA TANGA
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) LINASIKITIKA KUWATAARIFU WATEJA WAKE WA MKOA WA TANGA WA WILAYA YA LUSHOTO KUWA KUTAKUWA NA KATIZO LA UMEME SIKU YA ALHAMISI TAREHE 22 AGOSTI 2013 KUANZIA SAA 4 ASUBUHI HADI SAA 10 JIONI. SABABU NI KUBADILISHA NGUZO ZILIZOOZA ZA LAINI KUBWA ENEO LA KASIGA. 
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
WILAYA YA LUSHOTO YOTE, MOMBO, KWALUKONGE, MAZINDE, TORONTO, MKUMBARA, MKOMAZI, BENDERA NA BWIKO
TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE UTAKAOJITOKEZA.
Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,
                         TANESCO - MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment