Pages

September 16, 2013

KINONDONI KUSINI

TANGAZO LA KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KUSINI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
SABABU: Kufanya ukarabati wa line ya msongo mkubwa (Nordic feeder) na kuunga
                   cable zilizoungua Kwenye kituo cha kupozea umeme cha ubungo..
RATIBA YA KATIZO LA UMEME
TAREHE NA MUDA
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
Jumatatu hadi Alhamisi
16/09/2013-19/09/2013
Saa 3:00 Asubuhi hadi saa 11:00 jioni
Ubungo Kibangu, Makoka, Kimara Mwisho, Bonyokwa, Kimara Stop Over, Kimara Temboni, Kimara Suka, kwa Msuguli, Kibanda cha mkaa, Mbezi Mwisho, King’ong’o, Makabe, Mpigi Magohe, Kwembe, Kibamba, Malamba Mawili na maeneo ya jirani.
Jumatatu - Jumanne
16/09/2013-17/09/2013
Saa 4:00 Asubuhi hadi saa 11:00 jioni            
Landmark Hotel, Part of Ubungo Kisiwani Area, Mikoani Traders, Benjamini Mkapa Economic Zone, BP Mandela road, Mlimani property, Diesel Mandela Road,SITA Steel,Simba Steel,NIDA Textile,Tabata, ALAF,Cello Industry,Buguruni Maji machafu,Part of Buguruni Kwa Mnyamani,Bora Industry,Kioo Limited&TCC ,Tridea  Cosmetics  ,Quality  Centre, Azam Buguruni, Alaf LTD, Qujam Steel, Kamal Steel, Bakresa, Steel Master, Cello Industry, East star International.
   
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo 0222171762 – 65, 0784271461, 0715271461, Au Call centre number 2194400 or 0768 985100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza. 
Imetolewa na:  OFISI YA UHUSINAO,
                         TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment