Pages

September 25, 2013

PWANI

KATIZO LA UMEME MKOA WA PWANI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwataarifu wateja wake Mkoa wa Pwani kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya  Ijumaa Septemba 27, 2013 kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi saa 07:00 Mchana. 
Sababu. Kufanya matengenezo, kubadilisha nguzo zilizooza katika Line ya Msongo wa 33KV Mkuranga
Maeneo yatakayoathirika ni :-  Mkuranga mjini
Tafadhali usishike, usikanyage wala kusogelea nyaya za umeme zilizolala chini, ijulishe TANESCO mara moja kwa simu na:. 0657 108782 au Kituo Cha Kupokea Miito Ya Simu namba 2194400  au 0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa  usumbufu wowote utakaojitokeza.
IMETOLEWA NA:  OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO - MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment