Pages

September 11, 2013

TEMEKE


                                                      SHIRIKA LA UMEME TANZANIA
  
TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA TEMEKE

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Temeke kuwa, kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE
SABABU
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
Alhamisi
Tar 12,Septemba 2013
03:00-11:00 Jioni
Kubadilisha Nguzo zilizoungua na kukata miti kwenye laini ya umeme
Mtoni Kichangani,Mtoni kwa Aziz Ally, Tandika Sokoni, Mtoni Kindande, Viwanja vya  Sabasaba , Temeke Hospital,  Viwanda vyote vya Temeke Mwisho na maeneo ya jirani .
Ijumaa
Tar 13,Septemba 2013 03:00-11:00 Jioni

Kubadilisha nguzo zilizoanguka na kukata miti kwenye laini ya umeme
Baadhi ya maeneo ya Chang’ombe Viwandani, Simba Plastic, Robialac, Tanzania Printres, JKT Keko, Chang’ombe TCC, JWTZ  Mwakalinga , Konyagi,  Kiwanda cha Biskuti , NMC,Plasco,  Shule ya Yemen,  Ofisi za Wilaya Temeke, Maasai Taifa,VETA, Fazal, Super Loaf, TRA Bora na  Keko Toroli
Ijumaa
Tar 13,Septemba 2013 03:00-11:00 Jioni
Kufunga mita za 33Kv  na kuwaunganishia umeme wateja wapya
Soko Maziwa, Kwa Mwingira, Mjimwema, Kibugumo, Tippa, Nunge Kambi ya wazee, Hispitali ya Vijibweni,eneo la Kisiwani,,Kimbiji,Lake Cement, Hoteli za Ufukweni, Kibada na Mikwambe.

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia Dawati la dharura Mkoa wa Temeke:-
 0222138352, 0732 997361, 0712 052720, au  Kituo cha miito ya simu 022 2194400 /
 0768 985 100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza



Imetolewa na:            OFISI YA UHUSINAO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU. 
                                                        



No comments:

Post a Comment