Pages

October 23, 2013

KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KUSINI



Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

SABABU: Kuweka Cable zinazovika barabara kwenye laini ya NIC PLAZA na U – 2 ili              kupisha ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi (BRT) - October 2013

TAREHE & MUDA
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
ALHAMISI
24/10/2013              Saa 02.00 Asubuhi hadi saa 07.00 Mchana
Magomeni, Mabibo,  Mburahati, Kigogo, Manzese Argentina, Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Chuo Kikuu cha Ardhi (UCLAS), Survey, Makongo Juu, Ubungo Msewe, Mlimani City, TCRA na maeneo yanayozunguka.
JUMAMOSI
20/07/2013              Saa 03.00 Asubuhi hadi saa 10.00 Jioni
Magomeni, Mabibo,  Mburahati, Kigogo, Manzese Argentina, Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Chuo Kikuu cha Ardhi (UCLAS), Survey, Makongo Juu, Ubungo Msewe, Mlimani City, TCRA, Sinza, Manzese,  Ubungo, TBS, Ubungo bus Terminal, Rombo Green View, Kimara Mavurunza, Bucha, Resort, Korogwe na maeneo yanayozunguka.


Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo  0222171762 – 65, 0784271461, 0715271461,  Au Call centre number 2194400 or 0768 985100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

Imetolewa na:          OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.


No comments:

Post a Comment