Pages

October 22, 2013

KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KASKAZINI



Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-


TAREHE:            24 Oktoba 2013 (Alhamisi)
                    
SAA:                     3.00 asubuhi  hadi saa 11.00 jioni.

SABABU:            kubadilisha nguzo zilizooza na kukata miti iliyo chini ya laini za umeme .

 MAENEO YATAKAYOATHIRIKA;
Bagamoyo na Bunju, Bahari beach,Ununio,Ras Kilomoni,Budget hotel,Njia panda ya wazo factory,Teget,Boko,Boko Maliasili,Boko National Housing,Ndege beach,Mbweni Kijijini,nyumba 151 za Serikali,Bakili Muluzi school,Mbweni Ofisi ya Raisi flats,/Marando street. Kunduchi yote,Kunduchi Recruitment Training School (RTS) of TPDF  Mbuyuni,MECCO,JKT machimbo,,parts of Salasala,Green Acres school, Baadhi ya maeneo ya Kilongawima,Mbezi Africana ,mbezi Majumba sita,Lugalo Salasala,Kinzudi

Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo 2700367, 0716 768584 na 0784 768584, kituo cha miito ya simu namba 2194400.
                              
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Imetolewa na;
                       Ofisi ya Uhusiano
                       Tanesco-Makao Makuu

No comments:

Post a Comment