Pages

October 8, 2013

KINONDONI

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linapenda kuwataarifu wateja wake wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE NA MUDA:
SABABU: 
  LAINI NA MAENEO YALIYOATHIRIKA
Alhamisi                              10/10/2013                        03:00 – 11:00 Jioni
Kukata miti chini ya laini ya umeme nakubadilisha Nguzo zilizooza
Bagamoyo na Bunju yote
Ijumaa                                  11/10/2013                        03:00 – 11:00 Jioni
Kukata miti chini ya laini ya umeme nakubadilisha Nguzo zilizooza
Baadhi ya maeneo ya Kinondoni Kaunda, Barabara ya Kenyatta, Stanbic bank/Ocean front, balozi za Ufaransa, India, Nigeria, Indonesia,Urusi, Japan ,China na Kenya, Makazi ya balozi wa Ujerumani, Ikulu ya Raisi wa Zanzibar, makazi ya balozi wa Switzerland, Stanbic/Ocean front building, Zambia, Makazi ya Makamu wa Rais, Waziri mkuu, Century hotel, Don Bosco, baadhi ya maeneo ya Msasani ,Hospitali ya mwananyamala na Mwananyamala yote kwa ujumla.
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo 022 2700367, 0784 768584.
Au Kituo cha miito ya simu namba, 2194400.
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:   Ofisi ya Uhusiano,
                         TANESCO-Makao makuu

No comments:

Post a Comment