Pages

December 19, 2013

KINONDONI KUSINI



TAARIFA KWA UMMA

Tangazo la katizo la umeme Mkoa wa Kinondoni Kusini

Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

SABABU: Kujenga laini ya msongo mkubwa ili kuboresha upatikanaji wa umeme. .

TAREHE
MUDA
AREA
Jumamosi
21/12/2013

Saa 03:00 Asubuhi hadi 11:00    Jioni

Ubungo bus terminal, TBS, Dar Brew, Ubungo sisimizi, Sinza ukuta wa posta, ubungo Plaza, Shekilango, TBL ubungo depot, Pan Afrika, Ubungo NHC, Twiga cement ubungo depot na maeneo ya jirani. (Sehemu ya  NIC, U 2 & U7 Feeder)

                                  
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo  0222171762 – 65, 0784271461, 0715271461,  Au Call centre number 2194400 or 0768 985100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

Imetolewa na:  Ofisi ya Uusiano
                         TANESCO – Makao Makuu.

No comments:

Post a Comment