Pages

January 29, 2014

MKOA WA KINONDONI KUSINI

SHIRIKA LA UMEME TANZANIA
KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KUSINI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE: 30/01/2014
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:  
Kimara Suka, King’ong’o na maeneo ya jirani.
TAREHE: 31/01/2014
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:  
Kimara Temoni, Matosa na maeneo ya jirani.
MUDA: Saa 3.00 Asubuhi hadi 11.00 Jioni
SABABU:     Kukata miti kwenye laini ya msongo mkubwa
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo 0222171762 – 65, 0784271461, 0715271461, Au Call centre number 2194400 or 0768 985100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na:   OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment