Pages

January 6, 2014

MKOA WA PWANI

  SHIRIKA LA UMEME TANZANIA
TAARIFA YA KATIZO LA UMEME –MKOA WA PWANI
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Pwani, kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE:  Jumanne 07  Januari, 2014
                    
SAA:        02:00 asubuhi  hadi saa 11:00 Jioni.
SABABU: Kufunga nyaya kwenye laini mpya iendayo Msanga - Maneromango msongo wa kilovoti 33 ambayo ipo jirani na laini ya msongo wa kilovoti 11kuanzia eneo la mwisho wa lami hadi Pugu
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Mwisho wa Lami, Pugu, Majohe, Chanika,Buyuni , Kipawa Mpya and Kisarawe
Usiguse wala kusogelea waya wa Umeme uliokatika.toa taarifa Tanesco kwa namba za simu 023 2440061, 0657 108782, 0785 122020 au kituo cha kupokea miito ya simu namba 2194400 au 0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na OFISI YA UHUSIANO,
                                          TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment