Pages

February 10, 2014

MKOA WA KINONDONI KASKAZINI

SHIRIKA LA UMEME TANZANIA
KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KASKAZINI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE:
SABABU: 
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA 
Jumatano
12,February,2014
3 Asubuhi-11 Jioni                                               
Kukata miti,kubadilisha Nguzo zilizooza na Matengenezo mengine
Baadhi ya maeneo ya mikocheni ‘B’,makazi ya Mh.Hon Mwinyi na Mwalimu Nyerere na maeneo ya jirani,Eneo la Warioba,Baraka plaza,Regency park hotel,Maji mchafu area,Heineken,Shekiland,Msasani kwa Mamwinyi,Soko la samaki,Double Tree hotel.
Alhamisi
13,Februay,2014
3 Asubuhi-11 Jioni
Kukata miti,kubadilisha Nguzo zilizooza na Matengenezo mengine
Earth satelite,TCU,Millenium tower,Letisia tower,CRJE,Bobs motel, ,Johannesburg & Wanyama & Lion hotels,Nyumba za serikali Mikocheni,TPDC,Rose Garden,TTCL Kijitonyama,Heko Kijitonyama,Mjimwema,Kijitonyama Ali maua,Kijitonyama Kisiwani,Hon.Anna Makinda area,eneo lote la kijitonyama na maeneo yanayolizunguka
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo 022 2700367, 0784 768584,  0716 768584 Au Call centre namba 2194400.
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:  OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.  

No comments:

Post a Comment