Pages

March 12, 2014

KATIZO LA UMEME MKOA WA TEMEKE




Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake Wa Mkoa wa Temeke kuwa, kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:       Jumamosi   15/03/ 2014        

MUDA:            03:00 Asubuhi – 12:00 jioni

SABABU:       Kubadili nguzo zilizooza maeneo ya Uvumba Kisiwani, kubadilisha nguzo zilizooza maeneo ya Mango, kubadilisha nguzo zilizooza maeneo ya MSD, kufunga autorecloser maeneo ya Mwongozo na kukata miti.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Maeneo yote ya Gezaulole, Maweni, Kibada, Mikwambe, Mji mwema, Kimbiji, Ferry, Tungi, Southern beach hotel, TPDF, Nevy, Vijibweni Hospitali, Magogoni, Kisarawe 11, NSSF, Mikwambe, Kilimo, Veternary, Mikoroshini, Yombo kisiwani, Keko  Mwanga, MSD, Keko  phamasi, Rehmanji, Viwanda vyote vilivyoko barabara ya Nyerere, Jamana, TOYOTA, Quality Plaza, Kiuta, Supadolly na maeneo jirani.

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia Dawati la dharura Mkoa wa Temeke:-
 0222138352, 0732 997361, 0712 052720, au Kituo cha miito ya simu 022 2194400/0768 985 100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza


 Imetolewa na:           OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU. 

No comments:

Post a Comment