Pages

April 1, 2014

KINONDONI KUSINI

Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
SABABU: Kukata miti iliyopo kwenye laini kubwa  na kubadilisha nguzo zilizooza.
TAREHE & MUDA
ENEO
Jumatano
02/04/2014  saa 03:00-11:00 Jioni
Sinza Uwanja wa TP, Sinza Vaticani,Namnani Hotel, Iteba Sinza Kijiweni,  Sinza Kumekucha, Mwika,Sinza Kwa Remi, Tandale Magharibi,Tandale Uzuri,Chakula bora,Manzese uzuri,Manzese Tip top, Manzese darajani,Msikiti wa Kione Manzese Kwa Mfuga Mbwa,Manzese Kanisa Katoliki,Ofisi za Kampuni ya simu, Urafiki Quarters, Tandale kwa  Mtogole, Tandale kwa Ally Maua, Tandale Behobeho, Tandale kwa
Tumbo, Tandale Shuleni,Kanisa Katoliki Tandale,Tandale Sokoni, Tandale dispensary, Urafiki Textile,TSP Ltd Millenium business na maeneo ya jirani.
Alhamisi
03/04/2014
Saa 3:00 asubuhi – 11:00 jioni
Mabibo mwisho, Chuo cha Usafirishaji (NIT ), TGNP Mabibo, Msd  Mabibo, Techpark Ltd , Nbc Ubungo, Rubada, Tanesco staff quarters Sumnujoma Rd, Pan Africa, TSP, Ubungo Maziwa, Ubungo  NHC, Ubungo bus terminal, TBS, Dar Brew (CHIBUKU ), Twiga Cement Ubungo,  SOS Children along Sumnujoma  Rd , Sinza Ukuta Posta  na maeneo  yajirani.
Alhamisi
03/04/2014
Saa 3:00 asubuhi– 11:00 jioni
Mabibo Makuburi, Mandela road, Mabibo Jeshini, Ubungo Kibangu, Mabibo Relini, Mabibo Shungashunga, Ubungo Maziwa,Mabibo UDSM Hostel, Coast Miller  ana maeneo yajirani
   
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo 0222171762 – 65, 0784271461, 0715271461, Au Call centre number 2194400 or 0768 985100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na:  Ofisi ya Uhusiano
                         Tanesco-Makao Makuu.

No comments:

Post a Comment