Pages

April 1, 2014

MKOA WA ILALA

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME - ILALA
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawaarifu wateja wake wa Mkoa wa Ilala kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE: Jumamosi, 5 Aprili , 2014.      
 
MUDA:       Saa 03:00 asubuhi hadi 11:00 jioni.  
            
SABABU:  Kuboresha ,Kubadilisha Nguzo Zilizooza na Kukata Matawi ya Miti Kwenye njia ya Msongo Mkubwa wa Umeme
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Ofisi za Takukuru Upanga,makao Makuu ya jeshi Ngome Upanga,Shule ya Sekondari ya Shaban Robert,Hospitali ya Tumaini,Hitech sai Health care,mtaa wa Agha-Khan,Hoteli ya palm Beach,Ukimbi wa mikutano wa diamond jubilee,Ofisi za Tunakopesha Upanga na maeneo ya jirani,Barabara ya Umoja wa Mataifa na maeneoya jirani,Maeneo ya mtaa wa magore na maeneo ya jirani,Shule ya Sekondari ya Tambaza na maeneo ya Jirani.
Tafadhali usishike wala kukaribia waya uliokatika, toa taarifa kupitia  namba hizi:  0784 768586, 0715 768586,022213330 au Call Centre No. 2194400 au 0786985100
Uongozi unasikitika Kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na:   Ofisi ya Uhusiano.

No comments:

Post a Comment