Pages

May 14, 2014

KINONDONI KUSINI

TANGAZO LA KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KUSINI
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
SABABU:  Kubadilisha nguzo zilizooza katika njia kubwa ya umeme na Kufanya matengenezo
Katika kituo cha kupozea umeme cha Tandale.
TAREHE & MUDA
ENEO
Jumamosi,17/05/2014 kuanzia 03:00asubuhi  mpaka 11:00 jioni
Sinza Uwanja wa TP, Sinza Vaticani ,Namnani Hotel, Iteba, Sinza Kijiweni,  Sinza Kumekucha,Sinza Mwika, Tandale Magharibi,Tandale Uzuri ,Manzese uzuri, Manzese Tip top, Manzese darajani, Msikiti wa Kione, Manzese Kwa Mfuga Mbwa,Manzese RC church, Ofisi za Kampuni ya simu, Urafiki Quarters, Tandale kwa Mtogole, Tandale kwa Ally Maua, Tandale Behobeho, Tandale kwa Tumbo, Tandale Shuleni, Kanisa Katoliki Tandale,Tandale Sokoni, Tandale dispensary, Urafiki Textile,TSP Ltd ,Millenium business, Sinza Lion Hotel,.Rombo Sunflower,Manzese kwa Kione, Strabag compound, Engen petrol station, Manzese Hill Top,Tandale Chakula Bora,The whole area of Bondeni Bar, Manzese Mwembe Mkole ,Manzese Bingo, Urafiki China residence and surrounding areas
(TANDALE, TEXTILE,TAN 1, TAN2, TAN4 & TAN5  FEEDERS)
   
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo 0222171762 – 65, 0784271461, 0715271461, Au Call centre number 2194400 or 0768 985100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na:  Ofisi ya Uhusiano
                       Tanesco-Makao Makuu

No comments:

Post a Comment