Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake Wa Mkoa wa Temeke na Ilala kuwa,
kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
MKOA WA TEMEKE:
TAREHE: Jumamosi 19/07/ 2014
MUDA: 03:00
Asubuhi – 12:00 jioni
SABABU: Kubadilisha nguzo zilizooza na Kukata
miti kwenye laini za umeme.
MAENEO
YATAKAYOATHIRIKA:
Maeneo yote Mtoni kijichi,
Kibonde maji,Kichemchem,Mbagala kuu,Kizuiani,Kipati,Mbagala
Mission,Kingugi,Sabasaba,Maeneo ya chang,ombe viwandani,Nyerere road, Tandika,
Yombo, Na maeneo jirani.
MKOA
WA ILALA:
TAREHE: Jumamosi 19/07/2014;
SAA: 3:00
Asubuhi- 12:00 Jioni
SABABU: Kukata miti, Kubadilisha nguzo zilizooza,
kurekebisha maungio ya nyaya za umeme.
MAENEO
YATAKAYOATHIRIKA:
Amana Hospital, Bank ya Baclays, nyumba za Polisi
Buguruni,Buguruni sheli, Shule ya viziwi, banki ya Buguruni, Banki ya Akiba, mitungini Mosque,Timayare, Bank ya Damu,Ofisi ya mkuu
wa mkoa ,Mwalimu house, Msimbazi center na maeneo ya jirani.
MAENEO
YATAKAYOATHIRIKA:
Amana Hospital, Bank ya Baclays, nyumba za Polisi
Buguruni,Buguruni sheli, Shule ya viziwi, banki ya Buguruni, Banki ya Akiba, mitungini Mosque,Timayare, Bank ya Damu,Ofisi ya mkuu
wa mkoa ,Mwalimu house, Msimbazi center na maeneo ya jirani.
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia
Dawati la dharura Mkoa wa Temeke:-
0222138354, 0732 927515, 0732 997361, Ilala kitengo cha
dharura - 022 213 3330, 0784 768586,
0715 768586, 0684001066, 0684001068, 0684001071, 0222138352, and 0784768581.
au Kituo cha miito ya simu 022 2194400 /
0768 985 100
Uongozi
unasikitika Kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na: OFISI
YA UHUSIANO,
TANESCO
– MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment