Shirika la Umeme
Tanzania (TANESCO) linawataarifu
wateja wake wa Mkoa wa Ilala kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE: 23/8/2014
SAA: 3:00 Asubuhi – 12 Jioni
SABABU: Kufanya Matengenezo kwenye kituo cha kupoozea umeme cha railways.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Clock tower, Mtaa
wa india, Jmall , Barabara za Morogoro ,
Samora ,Mansfield, NSSF Water front,Bandari, Dawasco, Polisi Makao makuu,
Police traffiki, TRA ,Maeneo yote ya Kamata,
Mitaa ya Algeria , Makamba ,Gerezani ,Lugoda Muheza,Mnazi mmoja, Sophia kawawa , Barabara
ya uhuru, Mitaa ya Agrrey Kidongo
chekundu, na Kipata na Maeneo yote ya jirani.
TAREHE: 24/8/2014
SAA: 3:00 Asubuhi - 12:00 Jioni
SABABU: Kufanya Matengenezo
kwenye njia ya kusafirishia umeme ya msongo wa kilovolt 33.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Hospital ya Regency,
Barabara ya Ghana, Barabara ya Ally
Hassan Mwinyi, PPF Tower, Benjamin mkapa
tower,Tanesco Ilala, Wizara ya Nishat na madini, Ikulu, WAMA, Hospitali ya
ocean Road, Ferry ,Ministry of health, Prime Minister’s Barabara za Sokoine ,
Mirambo, Luthuli , Samora , Ghana , Chimara ,Maeneo yote ya katikati ya mji na
maeneo yote ya jirani.
Tafadhali
usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo:022 213 3330,
0784 768586, 0715 768586. au Call
centre namba 2194400 au 0768 985 100
Uongozi
unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na: OFISI
YA UHUSIANO,
TANESCO
– MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment