Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautangazia umma
kuwa mtajwa hapo aliyekuwa Mhasibu Wilaya ya RUANGWA, si mfanyakazi tena wa (TANESCO) kuanzia Mei 27, 2014.
Kwa sababu hiyo, Shirika halitahusika na kazi au makubaliano yoyote
yatakayofanywa na Bw. Mayunga kwa niaba ya TANESCO.
Aidha Bw. Kizito anatafutwa na mwajiri wake popote alipo. Kwa
yeyote atakaye muona atoe taarifa Ofisi zozote za TANESCO au Kituo chochote cha
Polisi kilicho karibu. Zawadi nono itatolewa kwa atakayefanikisha kukamatwa
kwake. Shirika limemfungulia jalada polisi kwa RB RUN/RB/1261/2014 na RUN/IR/877/2014.
Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano,
TANESCO MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment