Shirika la Umeme Tanzania TANESCO
linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa
na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
RATIBA YA KATIZO LA UMEME
SABABU: MATENGENEZO
KWENYE MIFUMO YETU YA KUSAMBAZIA UMEME.
TAREHE: 15/11/2014
( JUMAMOSI )
MUDA
|
ENEO
|
0300
Asubuhi – 1100 Jioni
|
ENEO LOTE LA MBEZI LUIS, UBUNGO DARAJANI, ENEO LOTE LA KIMARA,
MAKOKA,KIBAMBA,CHANGANYIKENI,KISIWANI,MBEZI
MAKONDEKO GOLANI,MAKONGO JUU,
ENEO LOTE LA MAGOMENI,TANDALE,
MANZESE, KIGOGO, MABIBO, SINZA, MLIMANI CITY, TCRA, CHUO CHA SHERIA, UBUNGO
PLAZA, TSP, URAFIKI, STRABAG, NA MAENEO YOTE YA JIRANI.
|
Tafadhali
usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo 0784-271461,
0715-271461, Au Kituo cha miito 2194400 or 0768 985100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na: OFISI YA
UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU
No comments:
Post a Comment