Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini
kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya IJUMAA
tarehe 06/02/2015 kuanzia saa 3:00
asubuhi hadi 11:00 jioni. Sababu ni
Matengenezo, kukata miti, na kubadilsha nguzo zilizooza.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:-
Tarehe 06/02/2015
Baadhi ya maeneo ya
barabara ya Mwaya na Chole, Kota za
Bandari, Fleti za NASACO , Kahama mining, Manzese, Valahala village,Kota za
UNDP, Baobao village,Baadhi ya maeneo ya mtaa wa Uganda, Morogoro store, Fleti za IFM , Hosteli
za chuo cha Muhimbili (MUHAS), Kipepeo apartments, Mahakama ya Sea cliff ,
Hoteli ya Alexander na maeneo yanayozunguka. Mbezi bondeni,Mtaa wa Luvent
,Mtaa wa Almas ,Shule ya Mwl Nyerere ,Mbezi Maguruwe,Barabara ya samba, Chui na Aly Sykes ,Mtaa wa Beach ,BOT Mbezi ,TTCL
Mbezi beach,Barabara ya Zena Kawawa ,Kanisa la Roman Catholic Mbezi beach, Mbezi
miti mirefu, uwanja wa walenga shabaha, Jangwani beach, Belinda, Giraffe,
Whitesands, na Green Manner hoteli, Baadhi ya maeneo ya Kilongawima, Kota za NMC.
Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au
kuanguka.
Uongozi
unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa
na:- OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO –
MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment