TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MATUMIZI MABAYA YA MITANDAO YA KIJAMII
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)linapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa kuna watu wanatumia jina la TANESCO vibaya katika mitandao ya kijamii (facebook na twitter)kujibu watu matusi,kulikashifu shirika na kutoa maelezo yasiyo sahihi kuhusu shirika kwa kujifanya wao ni TANESCO.
Shirika limeshatoa taarifa Mamlaka ya udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kuwasiliana na vyombo vingine vya usalama juu ya uhujumu huo.Mitandao hiyo ina akaunti za facebook zinasomeka (TANESCO TZ na TANESCO)na akaunti za twitter zinasomeka (Tanesco@TANESCO-,Tanesco Escober@tanescobar,TANESCO LTD@tanesco-)
Tanesco inaendelea kuzikana akaunti hizo na kwamba chochote kinachoandikwa huko si msimamo au maelezo kutoka shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).Mitandao sahii ya TANESCO ni :
Facebook:www.facebook.com/tanescoyetu.
Twitter:www.twitter.com/@tanescoyetu
Uongozi unaomba radhi wateja wake kwa usumbufu wowote walioupata kutokana na upotoshwaji wa taarifa kwanye mitandao hiyo.
Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano,
TANESCO MAKAO MAKUU
Pages
▼
June 26, 2015
June 15, 2015
KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KUSINI
Shirika la umeme Tanzania Tanesco linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa imetokea hitilafu ya umeme kwenye kituo kidogo cha kupoozea na kusambaza umeme cha Magomeni leo juni 15,2015 jioni hii.
Mafundi wanafanya patrol kuchunguza tatizo ni nini.
Maeneo yatakayokosa umeme ni Magomeni yote, Kigogo, Ubungo plaza, Mlimani City na baadhi ya maeneo ya UDSM, TCRA na Law School.
Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakao jitokeza.
Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu.
Mafundi wanafanya patrol kuchunguza tatizo ni nini.
Maeneo yatakayokosa umeme ni Magomeni yote, Kigogo, Ubungo plaza, Mlimani City na baadhi ya maeneo ya UDSM, TCRA na Law School.
Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakao jitokeza.
Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu.
June 11, 2015
TAARIFA
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)
TAARIFA YA KWA WATUMIAJI WA UMEME
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linatoa taarifa kwa
wateja wake kwamba Kampuni ya Pan African Energy (T) Ltd inayoendesha visima
vya gesi Songosongo imezima baadhi ya mitambo yake kwa sababu ya hitilafu
kwenye mfumo wa gesi.
Wakati kazi ya matengenezo ya kurekebisha hitilafu hiyo
ikiendelea, kunaweza kujitokeza usumbufu kwa baadhi ya wateja hadi kazi hiyo
itakapokamilika.
Kwa taarifa zilizotolewa na Kampuni ya Pan African Energy (T)
Ltd, kazi hiyo inatarajiwa kukamilika jioni ya leo.
Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na: Ofisi
ya Uhusiano,
TANESCO
MAKAO MAKUU
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES
TANZANIA ELECTRICAL SUPPLY COMPANY
LIMITED
EMPLOYMENT
OPPORTUNITIES
INTERNAL
AND EXTERNAL ADVERTISEMENT
Background – TANESCO http://www.tanesco.co.tz
The Tanzania
Electric Supply
Company (TANESCO) is focusing on increasing the outreach and service quality of
its Energy products for Tanzania people.
Next to its current passion as a leading provider of electricity is to
be more efficient customer focused utility for Tanzania and beyond. The Company
has the largest electricity generation, transmission and distribution network
in Tanzania. In order to reach its goals, the Company will, in the coming years
invest heavily in its generation, transmission and distribution network, its
business systems and human capital.
TANESCO now invites applicants from serious, self-motivated, and honest,
hardworking and committed individuals to fill the under-mentioned vacant posts at
Mtera Hydro Power Plant.
|
REPORTS TO: MECHANICAL TECHNICIAN - MTERA
POSITION
OBJECTIVE
Responsible for maintenance of plant
machinery by attending all plant equipment to ensure smooth running of all
plant machinery at the station by adhering to Plant preventive maintenance
schedule.
Specific
Duties and Responsibilities
·
Repair all plant machinery under the directives from the
mechanical Technician.
·
Fabrication of all metal equipment and tools required for
effective machinery operations.
·
Report to the Mechanical Technician any defects on the plant
machinery for the purpose of securing the components, spares and accessories
necessary for accomplishment of daily duties.
·
Execute all daily works as schedule and report all
accomplished works to the mechanical Technician.
·
Ensure industrial and workshop safety regulation
Key Knowledge,
Experience and Skills you must posses
- Form IV Secondary Certificate
- Holder a certificate in machinery fitting from VETA or any recognized institution.
- Minimum of 2 years of related experience
- Computer knowledge is preferable
ARTISAN – DAM ATTENDANT (1POST)
|
REPORTS TO: CIVIL TECHNICIAN - MTERA
POSITION
OBJECTIVE
To maintain Dam Area cleanliness,
Leakage measurement in the dam body and other civil works at the station.
Specific
Duties and Responsibilities
- Leakage measurement from the dam
- Visual inspection of the dam body in order to recognize any defect
- To clean the dam site area including upper and downstream side.
- To assist in the civil works particularly mason and plumbing under the directives of civil Technician.
- Report to Civil
Technician/Supervisor any defects at the dam site for the purpose of detecting
early condition of the dam to allow time to properly evaluate the on-going
safety of the dam and to take corrective action
Key Knowledge, Experience and Skills you must posses
- Form IV Secondary Certificate
- Holder a certificate in Civil works from VETA or any recognized institution.
- Minimum of 2 years of related experience
- Computer knowledge is preferable
SELF-MANAGEMENT AND PERSONAL TRAITS FOR ALL MENTIONED POSTS- Must be Self-motivated.
- Excellent communication skills.
- Must be Creative, innovative and team working skills.
- Demonstrates highest degree of integrity
- Possess excellent interpersonal skills.
REMUNERATIONAn attractive compensation package base on performance and consummate with the experience and skills will be offered to the successful candidates.HOW TO APPLYIf you are interested in the position, apply by sending a detailed written application letter, clearly stating why you should be considered for the position and how you will add value. With the letter, detailed curriculum vitae (CV) should be enclosed with all relevant certificates including three (3) referees. Electronic applications are accepted.Applications should reach the undersigned not later than 14 days after initial appearance of this advert.PLANT MANAGER,MTERA HYDRO POWER PLANT,P. O BOX 1MTERA, DODOMAAtt.Email: pm.mtera@tanesco.co.tzApplication closing date: 23rd June 2015