SHIRIKA LA UMEME TANZANIA
KATIZO LA UMEME –
MKOA WA KINONDONI KASKAZINI
Shirika la Umeme
Tanzania (TANESCO) linawataarifu
wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme
kama ifuatavyo.
SAA: 3:00 Asubuhi 10:00 Jioni
TAREHE: Alhamisi,
28 January 2016
SABABU: Kuzimwa kwa laini ya MS
1, kwa ajili ya kubadili nguzo zilizooza na nyaya zilizochakaa ili kudhibiti
hali ya kukatika kwa umeme mara kwa mara.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:
Baadhi ya
maeneo ya Masaki, Msasani, Oysterbay na maeneo yanayozunguka..
TAREHE: Ijumaa,
29 January 2016
SABABU: Kuzimwa kwa laini ya
WAZO, kwa ajili ya kubadili nguzo zilizooza na nyaya zilizochakaa ili kudhibiti
hali ya kukatika kwa umeme mara kwa mara.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:
Goba, baadhi ya maeneo
ya salasala, Wazo, Mivumoni, Madale na maeneo yanayozunguka.
Tafadhali
usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka toa taarifa kupitia namba
za simu zifuatazo: - Dawati la dharura Mkoa wa Kinondoni Kaskazini: 0784
768584, 0716 768584 au namba za kituo cha miito ya simu 2194400/0768 985100
Uongozi
unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:- OFISI
YA UHUSIANO,
TANESCO
– MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment