SHIRIKA LA UMEME TANZANIA
KATIZO LA UMEME MKOA WA ILALA
Shirika la Umeme
Tanzania TANESCO linawataharifu
wateja wake wa Mkoa wa Ilala kuwa
kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE: Jumatano
31/08/2016
MUDA : 03:00 Asubuhi - 09:00 Alasiri
SABABU:
MATENGENEZO YA NJIA YA
KUSAFIRISHA UMEME YA KISUKURU ILI KUBORESHA HALI YA UPATIKANAJI WA UMEME.
MAENEO
YATAKAYO ATHIRIKA:
Baadhi ya
maeneo ya Bima, Kimanga, Kisukuru, Mawenzi, Bonyokwa, Makoka pamoja na maeneo ya jirani.
TAREHE: Alhamisi, 01/09/2016
MUDA : 02:00
Asubuhi - 11:00 Jioni
SABABU:
UKARABATI WA NJIA YA UMEME YA
F32 NA F22 ENEO
LA
MSONGOLA ILI KUBORESHA HALI YA UPATIKANAJI WA UMEME.
MAENEO
YATAKAYO ATHIRIKA:-
Baadhi ya maeneo ya kwa Mpemba, Matembele 2,
Mwembeni, Sirari, Kivule shule, Kwa Pengo, Magole A, Kivule Mwisho, Nyang'andu,
Moshi bar, Mazizini, Kwa diwani, Mkolemba,
Mombasa pamoja na maeneo ya jirani.
Tafadhali
usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia namba za simu zifuatazo:-Dawati la Dharura Mkoa wa Ilala: 022 213 3330, 0784 768586, 0715 76 85
86, 0715 768589 AU Kituo cha
Miito ya Simu 2194400 au
0768 985 100.
Uongozi unaomba Radhi kwa Usumbufu wowote Utakaojitokeza.
Imetolewa
na: OFISI
YA UHUSIANO,
TANESCO
– MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment