SHIRIKA
LA UMEME TANZANIA
KATIZO LA UMEME
- MKOA WA KATAVI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)
linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Katavi
kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE: 6, 7 &9 Septemba, 2016 (JUMANNE, JUMATANO
& IJUMAA)
MUDA: 2:00
Asubuhi hadi 12:00 Jioni.
SABABU: Ukarabati
wa mashine za kuzalisha umeme kwenye
kituo cha
Kupooza umeme cha Mpanda na kubadilisha nguzo zilizooza
ili Kuboresha hali ya
umeme.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Tarehe 6/09/2016 Jumanne:
Mpanda
Hotel, Milala, Mpanda Girls, Makanyagio na minara ya simu ya mlimani.
Tarehe 7/09/2016 Jumatano:
Maeneo
yote ya Halmashauri ya Nsimbo, Mji mwema, Kasimba, Majengo, Kawanjense 1&2,
Nsemulwa k;wa Mkumbo, Nsemulwa Kichangani, Nsemulwa kwa Malaki, Madukani,
Kazima na Chuo cha ufundi VETA Mpanda.
Tarehe 9/09/2016 Ijumaa:
Maeneo
yote ya mji wa Mpanda, Nsimbo na vijiji vyake vyote pamoja na maeneo ya jirani.
Tafadhali
usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo,Katavi dawati la
dharura 0688 345 200, Au kituo
cha miito ya simu 2194400 au 0768 985100
Uongozi
unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment