Pages

December 24, 2017

HUDUMA ZETU KIPINDI CHA SIKUKUU









Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatakia Wateja wake heri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya wa 2018.

Katika kusherehekea msimu huu wa Sikukuu, Shirika limejipanga kuhakikisha Wateja wetu mnaendelea kupata huduma bora na za uhakika saa 24.

Huduma zetu za dharura (Emergency) na Huduma kwa Wateja (Customer Care) zitapatikana muda wote.

Tunawaomba Wateja wetu kutupatia taarifa zitakazosaidia Wataalamu wetu kukufikia wa wakati kupitia kituo cha Miito ya Simu, Naba za Mikoa na Wilaya pamoja na mitaandao ya kijamii.

Imetolewa na: Ofisi ya Uhusiano
                        TANESCO Makao Makuu.

1 comment:

  1. Tunduma umeme unakatika katika kila wakati, hata hivi sasa haupo.Mji wa Tunduma haujawahi kuwa na nishati ya umeme ya uhakika

    ReplyDelete