Pages

June 23, 2011

RATIBA MPYA YA MGAO WA UMEME

ARUSHA
PWANI
DODOMA
IRINGA
ILALA
KILIMANJARO
KINONDONI KASKAZINI
KINONDONI KUSINI
MARA
MANYARA
MBEYA
MWANZA
SHINYANGA
SINGIDA
TABORA
TANGA
TEMEKE

5 comments:

  1. Kwenye muda huo mgumu watanzania tuko bega kwa bega. Kinachosikitisha ni kutokufuata ratiba baada kutangaza kwenye magazeti.

    Gazeti ya tarehe 23 June ya Guardian Kinondoni kaskazini muda wetu ulikuwa ni saa 18.00-23.00 lakini umeme ulikatwa kuanzia 16.00 alhamisi hadi 16.00 Ijumaa.

    Kama kuna mabadiliko yote yanakubalika, lakini baada kupata ratiba na sisi pia tunapanga ratiba za shifti za kazi ambazo zote zionzvurugika, na wafanyakazi kusamabaratika

    ReplyDelete
  2. Mimi bado sijaelewa vizuri sababu za mgao wa round hii, je bado ni maji? the other time ilitangazwa kua utakua wa muda kwa ajili ya maintanance, lakini hata muda ulipoisha mgao uliendelea,honestly speaking maeneo kama ya Sakina Kiranyi Arusha mgao hawajawaji toa break hata kipindi ulipoacha imekua tu ni mfululizo wa ratiba moja baada ya nyingine na sasa it is even worse. inaturudisha nyuma kimaendeleo kifedha na inapelekea frustrations. natamani huu mgao uishe more than anythingdo ni maji? the other time ilitangazwa kua utakua wa muda kwa ajili ya maintanance, lakini hata muda ulipoisha mgao uliendelea,honestly speaking maeneo kama ya Sakina Kiranyi Arusha mgao hawajawaji toa break hata kipindi ulipoacha imekua tu ni mfululizo wa ratiba moja baada ya nyingine na sasa it is even worse. inaturudisha nyuma kimaendeleo kifedha na inapelekea frustrations. natamani huu mgao uishe more than anything

    ReplyDelete
  3. Hizi zama za teknohama zinazotegemezwa na nishati ya umeme.Kuwepo kwa ratiba ya mgawo wa umeme ni pigo kubwa kwa zama hizi na kunadidimiza kwa kiasi kikubwa kasi ya ukuzi wa uchumi wa Taifa na maendeleo ya jamii kwa ujumla.Kwa Jiji la Dar es salaam ndiyo kitovu kikuu cha uchumi wa Tanzania,Je huu siyo wakati ufaao kwa TANESCO na wadau wake kuwekeza katika chanzo maalum cha nishati kwa ajili ya Jiji la Dar es salaam pekee yake?

    ReplyDelete
  4. Ni ukweli usiopingika kuwa Jiji la Dar es salaam linahitaji upendeleo maalum katika ratiba ya mgawo wa nishati ya umeme kwa manufaa ya maendeleo na ukuzi wa uchumi wa Taifa.

    ReplyDelete
  5. Tanesco Makao Makuu waangalieni kwa jicho la tatu watendaji wa wa tanesco mikocheni(kinondoni north)yaani wanasgindwa kufika eneo lenye emergency call hadi wapewa rushwa

    ReplyDelete