Pages

August 20, 2013

KATIZO LA UMEME KINONDONI KASKAZINI

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linapenda kuwataarifu wateja wake wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme lama ifuatavyo:-
TAREHE:
SABABU: 
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA 
Jumanne                               Agosti 20, 2013                        03:00 – 11:00 Jioni
Kukata miti chini ya laini ya umeme nakubadilisha Nguzo zilizooza
Goba, Sehemu ya salasala, Wazo kwa Makamba, Wazo Mji Mpya, Wazo Secondary, Mivumoni, Madale, Madale Scourt
Jumatano                          Agosti 21, 2013                        03:00 – 11:00 Jioni
Kukata miti chini ya laini ya umeme nakubadilisha Nguzo zilizooza
Kinondoni 'A & B',part of Kinondoni block 41, Biafra, Kanazi, Togo, Mtaa wa Wibu , Chuo Kikuu Huria, Ufipa, Kinondoni Moscow, Mtaa wa Livingstone, Hananasifu, Mkwajuni, Kinondoni studio, Manyanya, Chuo Kikuu cha Tumaini, Kambangwa Secondary
Alhamisi                              Agosti 22, 2013                        03:00 – 11:00 Jioni
Kukata miti chini ya laini ya umeme nakubadilisha Nguzo zilizooza
Karume and Tumbawe Street, Barabara ya Hill, Kajificheni close, St.Peters, Don Bosco, Kinondoni block 41,Ubalozi wa Indonesia,Uwanja wa Farasi, Josho la mbwa, Sehemu ya Barabara ya Msasani, Ubalozi wa Nigeria na Century Hotel.
Ijumaa                                  Agosti 23, 2013                        03:00 – 11:00 Jioni
Kukata miti chini ya laini ya umeme nakubadilisha Nguzo zilizooza
Mikocheni Business area, Ushindi primary school, BIMA Flats, Five Star, Mikocheni B, Assemblies of God, Barabara ya Coca-cola, Msasani Beach, Kawe Maringo, Clouds entertainment na K-Net Tower
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo 022 2700367, 0784 768584,  0716 768584..
Au Call centre namba 2194400.
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:  OFISI YA UHUSIANO,
  TANESCO MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment