Pages

August 15, 2013

KATIZO LA UMEME

     SHIRIKA LA UMEME TANZANIA                                                                                       
TAARIFA YA KATIZO LA UMEME – MKOA WA DODOMA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwataarifu wateja wake wa Mkoa wa Dodoma kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya JUMAMOSI 17/08/2013 kuanzia Saa 3:00 Asubuhi hadi 12:00 Jioni.  SABABU ni Kufanya Ukarabati kwenye laini ya umeme yenye msongowa kilovolt 33 ya Mpwapwa.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
UDOM, KISASA, HOMBOLO, MAENEO YOTE YA WILAYA ZA MPWAPWA, KONGWA, GAIRO, CHAMWINO naMaeneoyajirani
Tafadhaliusishikewayauliokatikatoataarifakupitiasimuzifuatazo: 026 2321728, 0732961270 Au Call centrenamba 2194400  au 0768 985 100
Uongoziunasikitikakwausumbufuwowoteutakaojitokeza
Imetolewa na: OFISI YA UHUSINAO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment