Pages

August 30, 2013

KINONDONI KASKAZINI

KATIZO LA UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini  kuwa kutakuwa na katizo la umeme litakalotokana na matengenezo katika kituo cha Mbezi Substation Siku ya Jumamosi tarehe 31/08/2013 kuanzia saa 0300 Asubuhi hadi saa 0900 Mchana.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:
Maeneo ya Mwenge, Lugalo Military base, Lugalo Hospitali, Maeneo yote ya Kawe, Maeneo ya Mbezi Beach na vitongoji vyake,
Tafadhali usishike waya uliokatika, na toa taarifa kupitia simu zifuatazo kwa dharula yeyote 022 2700367, 0784 768584,  0716 768584 Au Call centre namba 2194400.
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:   Ofisi ya Uhusiano,
                         TANESCO,MAKAO MAKUU

No comments:

Post a Comment