Pages

August 29, 2013

KINONDONI KUSINI

TANGAZO LA KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KUSINI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
SABABU: Kuhamisha line kupisha ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi na Kufanya
                   matengenezo ya line ya msongo mkubwa.
TAREHE NA MUDA
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
Jumamosi
31/08/2013              Saa 3:00 asubuhi hadi saa 11:00 jioni
Magomeni Makuti, Ofisi za Manispaa Kinondoni, Ofisi ya Mkuu Wa Wilaya Kinondoni, Benki ya NMB tawi la Magomeni, Travetine Hotel, Kigogo Luhanga, Kigogo Sambusa, Mabibo Loyola, Mabibo Farasi, Mabibo mwisho,  Magomeni Sokoni, Magomeni Mikumi yote, Magomeni mapipa, bondeni Hotel, Matombo Street, Bp Magomeni Mwembechai, Magomeni polisi,Muhuto street,  Magomeni Kondoa,Mwembechai, Manzese Argentina, Manzese Sisi Kwa sisi,Manzese, Mburahati, Mabibo, Midizini. Na maeneo ya jirani.
Jumatatu - Alhamisi
02/09/2013 -05./09/2013              Saa 3:00 asubuhi hadi saa 11:00 jioni
Ubungo kibangu, Makoka, Kimara Mwisho, Bonyokwa, Kimara stop over, Kimara Temboni, Kimara Suka, kwa Msuguli, Kibanda cha mkaa, Mbezi mwisho, King’ong’o, Makabe, Mpigi Magohe, Kwembe, Kibamba, Malamba mawili na maeneo ya jirani.
Ijumaa
06/09/2013
Saa 3:00 asubuhi hadi saa 11:00 jioni
Changanyikeni, Changanyikeni jeshini Makongo juu, Ubungo msewe, Ubungo chai bora na maeneo yote ya karibu na hayo.
   
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo 0222171762 – 65, 0784271461, 0715271461, Au Call centre number 2194400 or 0768 985100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na:   OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment