Pages

September 9, 2013

DODOMA

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA DODOMA
Shirika la umeme Tanzania TANESCO linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Dodoma kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya ALHAMISI tarehe 12/09/2013 kuanzia saa 3.00 Asubuhi hadi saa 10 jioni. Sababu ni kubadilisha nguzo zilizochakaa kwenye laini ya msongo wa kilovolti 11 ya Zuzu Kaskazini.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:-  Kizota, Nkuhungu, Chinangali na Changombe.
TAFADHALI USIGUSE WALA KUKANYAGA NYAYA ZILIZOANGUKA, toa taarifa kupitia namba zifuatazo 026 2321728, 0782 161643 au Call centre numbers 2194400 or 0768 985 100.
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa Na     OFISI YA UHUSIANO
TANESCO – DODOMA

No comments:

Post a Comment