Pages

September 27, 2013

Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mikoa ya Ilala,Temeke naWilaya ya Kisarawe kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-



TAREHE:     Jumamosi, 28/09/2013.

SAA:               12:30 Asubuhi- 12:30 Jioni

SABABU: Kufanya Marekebisho ya Kiufundi katika ‘Transformer’ la 45MVA, 132/33kV na Kuongeza uwezo wa ‘Busbar’ za msongo wa 33kV ili Kuwasha Transfoma Kubwa la 90 MVA Katika Kituo cha Kusambaza Umeme cha Kipawa

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Airport Terminal 1, Julius Nyerere International Airport, Prince Ware Industry, baadhi ya maeneo ya Kiwalani, Part of Nyerere Road, Kipawa, Majumba-Sita, Sitakishari, Karakata, PEPSI, Airwing JWTZ, Banana, SIDO, Murzah Oil, East African Cable, Metro Steel, Metro Plastic, Omar Packaging, Bakhressa (Kipawa),  Azam Ice cream (Vingunguti), Simba Net, Tanzania Brush, DHL - Banda la Ngozinamaeneojirani, TAZARA Station na Pampu ya Maji ya JNIA. NAMERA, KIU, AVIATION HOUSE - Banana, MagerezaUkonga, Gongolamboto, Kipunguni, Kivule, Mwanagati, Kinyantira, Majohe, Chanika, Kibeberu, Mongolandege, Pugu, Minaki, Kisarawe na maeneo jirani. Eneolote la Tabata pamoja na Kinyerezi, Segerea,  Bunyokwa, Kisukuru, Bangulo na maeneo jirani.

Mengineni; Eneolote la Chang'ombe, Temeke Hospital, TBC, baadhi ya maeneo yaTemeke, Temeke Mikoroshini, Vertenary, ‘KilimonaUvuvi’, maeneo yote ya Tandika, Mtoni-Kichangani, Mtoni -mashine ya maji, Yombo yote, pamoja na Yombo-buza, Vituka, Kwa-Limboa, Davis Corner, Kwa Lulenge na maeneo jirani. 

Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa  kupitiasimu zifuatazo:
022 213 3330, 0784 768586, 0715 768586.au Call centrenamba 022- 2194400/0768 985 100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu  wowote utakaojitokeza

               Imetolewa na:  Ofisi ya Uhusiano
                                         Tanesco-Makuu

No comments:

Post a Comment