Pages

October 2, 2013

ARUSHA

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA ARUSHA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwataarifu wateja wake wa Mkoa wa Arusha kuwa kutakuwa na katizo la Umeme siku ya JUMAMOSI tarehe 05/10/2013 kuanzia Saa 3:00 Asubuhi hadi Saa 10:00 Jioni.  Sababu ni kubadilisha nguzo zilizooza na zilizoungua kwenye laini kubwa ya 33Kv.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:
Esso, Mbauda, Majengo, Shamsi, Burka, Uwanja wa ndege wa Arusha, Ngaramtoni, Unga LTD, Ngarenaro, Mjini Kati, Chuo cha Misitu Olmotonyi, Mount Meru University, Radio Habari Maalum, Kaloleni, Friends Corner, Engosheraton, Tanzania Breweries LTD, Themi Hill, Arusha Mjini, Makao Mapya, Sehemu ya Uzunguni  na maeneo yote ya jirani.
Tafadhali: usiguse wala kusogelea waya wa umeme uliokatika toa taarifa TANESCO kupitia namba za simu zifuatazo:- 0732979280, 2506110 na 2503551/3.
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment