Pages

October 15, 2013

TANGAZO LA KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KUSIN


Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

 

SABABU: Kufunga swichi kwenye laini ya msongo mkubwa wa kilovolti 33  (Nordic feeder).

 

                                  

TAREHE
MUDA
ENEO
Alhamisi
17/10/2013
 
 
 
            
Saa 04:00 Asubuhi – 7:00    Mchana
Ubungo Kibangu, Makoka, Kimara Mwisho, Bonyokwa, Kimara stop over, kimara Temboni, Kimara Suka, Kwa Msuguli, Kibanda Cha Mkaa, Mbezi Mwisho, King’ong’o, Makabe, Mpigi Magohe, Kwembe, Kibamba, Malamba Mawili na meneo yote ya jirani. (NORDIC -  FEEDER)
Saa 07:00 Mchana – 11:00    Jion
 
Kimara Stop Over, Kimara Temboni, Kimara Suka, Kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho, King’ong’o, Makabe, Mpigi Magohe, Kwembe, Kibamba, Malamba Mawili na meneo yote ya jirani. (NORDIC -  FEEDER)

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo  0222171762 – 65, 0784271461, 0715271461,  Au Call centre number 2194400 or 0768 985100

 

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

 

Imetolewa na: 

OFISI YA UHUSIANO,

TANESCO MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment