Pages

November 8, 2013

MKOA WA ILALA

KATIZO LA UMEME – MKOA WA ILALA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Ilala  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE:    Jumapili  10/11/2013
                    
SAA:   3:00 Asubuhi - 12:00 Jioni
SABABU:  Kufanya Ukarabati,Kubadilisha Nguzo zilizooza na kukata Matawi ya miti kwenye Njia Kuu ya umeme ya Sokoine yenye msongo wa kilovolt 33 na Kubadilisha nguzo zilizooza na kukagua line yenye msongo wa umeme  
                   wa (11Kv na 33kv) barabara ya Nyerere
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Amani Place, FNB Bank, Mafuta House (Benjamin W. Mkapa Tower), Hosipitali ya Saratani ya Ocean Road, Hoteli ya Kilimanjaro (Hiyatt), Jengo la Kitega uchumi, Mahakama Kuu, Wizara ya Elimu, Jubilee Tower, Wizara ya Afya, Wizara ya Nishati na Madini, Ofisi ya waziri Mkuu, Ofisi ya TANESCO Mkoa wa Ilala, Steers, CRDB tawi la  Holland, NMB House Samora, Ofisi ya Habari na maelezo Samora, CDC, WAMA, Mtaa wa Lithuli, Kivukoni Ferry, Hoteli ya New Africa, Mahakama ya Rufaa, Umoja House, Jengo la mikutano la Mwalimu Nyerere, Benki kuu ya Tanzania, Palm residence, Chuo cha Utalii, Police Marine, Mtaa wa Shaban Robert, Mtaa wa Mirambo, Mtaa wa Obama, Baadhi ya mtaa wa Samora, Makao Makuu ya Jeshi-Ngome, Makao Makuu ya Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa-PCCB, Hospitali ya Tumaini, Ukumbi wa Mikutano wa Diamond na Maeneo ya jirani, Shaaban Robert Sec. School  na maeneo mengine ya jirani.
Kiwanda cha Metro Steel, Kiwanda  cha East African cables, A one product, Baadhi ya maeneo ya Kiwalani Kijiwe Samli, kwa Guru, kwa walemavu na maeneo jirani, Kituo cha pumpu ya maji cha JNIA, TBC, baadhi ya maeneo ya Temeke Mikoroshini, Veterinary, Kilimo na Uvuvi, maeneo yote ya Tandika, Mtoni Kichangani, Mtoni machine ya maji, maeneo yote ya Yombo pamoja na Yombo buza, Vituka, Kwa-Limboa, Davis Corner, Kwa Lulenge na maeneo ya jirani.
Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo: 022 213 3330, 0784 768586, 0715 768586. au Call centre namba 2194400  au 0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.                                

No comments:

Post a Comment