Pages

December 12, 2013

KATIZO LA UMEME – MIKOA YA ILALA NA TEMEKE



Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake wa Mikoa ya Ilala na Temeke kuwa Kutakuwa na Katizo la Umeme kama ifuatavyo:-

MKOA WA ILALA:

TAREHE:              Jumamosi 14/12/2013

MUDA:                   03:00 Asubuhi hadi 11:00 Jioni

SABABU:              Kufanya Matengenezo na kukata matawi ya miti kwenye njia ya Umeme ya msongo Mkubwa      

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
TRA Long Room, Makao makuu ya TRA, Makao makuu ya Polisi, Bandari, TASSAF, PPF Water Front,
Mtaa wa Lugoda, City Garden Restaurant, Shoprite kamata, Mtaa wa Makamba, Baadhi ya maeneo ya
Shule ya Uhuru, Mtaa wa Muheza, Mtaa wa Samora, J mall, harbor View Hotel, TRA Samora, TTCL
Makao Makuu, Benki ya mkombozi, Shule Ya sekondari ya Forodhani, AZAM Marine, Ofisi za jiji, Mtaa
wa Mansfield, Hospitali ya Mnazi Mmoja, Baadhi ya maeneo ya mtaa wa  Uhuru, Mtaa wa Lumumba
Mtaa wa Bibi Titi, Hoteli ya Peakock, Benki ya wananchi wa Dar-Es-Salaam, Ofisi za Tigo  Mtaa
waLugoda na maeneo mengine yanayohusika.

TAREHE:              Jumapili    15/12/ 2013     

MUDA:                   03:00 Asubuhi – 12:00 jioni

SABABU:              Kumuunganisha mteja mpya na kukata miti katika laini ya kilo volti 11 maeneo ya katikati ya mjie.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
A.H. Mwinyi, Sea View, Hospitali ya Agakhan, Hoteli ya Protea Hotel, Lasvegas Casino, Barabara ya Ally Hassan Mwinyi, Barabara ya Alkan, Mtaa wa Kimara, Mitaa ya  Kilombero, Longido, Ruhinda. na UN,

MKOA WA TEMEKE:

TAREHE:              Jumapili    15/12/ 2013     

MUDA:                   03:00 Asubuhi – 12:00 jioni

SABABU:              Kufanya ukarabati kwenye laini ya umeme.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Maeneo yote ya KURASINI , Mtoni Sabasaba, Mtoni kwa wandengereko, Mtoni Kwa Azizi Ally, Achimwene, Mkunguni, Mbagala  Mission, Container Terminal, Chuo cha Uhasibu, Kiwanda cha lami, Biashara Club Kurasini, Kona Kali, Highway, Keko Akida, Keko Machungwa, Mivinjeni, Shimo la Udongo, Bandari Qtrs, Chuo Kikuu cha Polisi, Polisi Kilwa Rd, Polisi Farasi/Mbwa, Baraza la Maaskofu, Walima Mchicha Kurasini, Kijiji cha Wavuvi Kurasini, Malawi Cargo, Transcargo, TICTS, Oil Com near UDA, TAZAMA, TAFICO, Zamcargo, East Coast Oil Millers, 21st Century (Ex-NMC), NHIF  HQ, Mission to Seamens, Bendera Tatu Kurasini, Bandari Gate No.3 and Wapo Radio . Eneo lote la  Mbagala, Kigamboni, Kongowe na Mkuranga

Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo: Huduma za Dharua TANESCO Ilala 022 213 3330, 0784 768586,0715768586, Dawati la dharura Mkoa wa Temeke:- 0222138352, 0732 997361, 0712 052720, au Kituo cha miito ya simu 022 2194400 / 0768 985 100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote uliojitokeza

Imetolewa na:      OFISI YA UHUSIANO,
                                TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment