Pages

February 7, 2014

KINONDONI KASKAZINI

KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KASKAZINI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE:      8 Februari 2014 (Jumamosi)
                    
SAA:        3:00 asubuhi  hadi saa 11:00 jioni.
SABABU: Matengenezo katika kituo cha Kupoza Umeme Mbezi      
                           
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Mwenge, Lugalo, na maeneo yote ya Mbezi beach
Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo 2700367, 0716 768584 na 0784 768584, kituo cha miito ya simu namba 2194400.
                            
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na:    OFISI YA UHUSIANO
                               TANESCO,MakaoMakuu

No comments:

Post a Comment