Pages

April 16, 2014

HITILAFU YA UMEME MKOA WA TEMEKE

Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Temeke kuwa  kuna hitilafu ya umeme imetokea ghafla jana usiku.
TAREHE:    15/4/2014 – Hadi Sasa
        SAA; 4:46 Usiku – Hadi Sasa
SABABU: Ni kuungua kwa Current Transformer (CT) kwenye Kituo
                Cha kupoozea Umeme cha Ilala.
MAENEO YALIYOATHIRIKA:
Maeneo yote ya Kigamboni,Mkuranga, Maeneo yote ya Viwanda na Makazi Mbagala,Mtoni Kijichi,Ofisi  ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke,DUCE,TRA,VETA,Shule ya Yemeni,Uwanja wa Taifa,JKT Mgulani,Baadhi ya Maeneo ya Keko na Chang’ombe Viwanda vya Mantrack,Quality Centre,Tarmal,TOL,Mzizima,TPA ,Bandari na Maeneo yote yanayozunguka Bandari,Maeneo ya kurasini na Mtoni Mtongani.
 
Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo:
022 2138354/2, 0732 997361, 0758 880155. au Call centre namba 2194400 au 0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na                           Mhandisi:Stephen Mfundo
                                                  Kaimu Meneja wa Mkoa- Temeke

No comments:

Post a Comment