Pages

April 16, 2014

KATIZO LA UMEME MKOA WA ILALA

Shirika la Umeme Tanzania  TANESCO Linapenda Kuwaarifu Wateja wake wa Mkoa wa Ilala na Wilaya  ya Kisarawe Kuwa Kutakuwa na Katizo la Umeme kama Inavyoonyeshwa Kwenye Jedwali lifuatalo:-
TAREHE
SABABU
MUDA
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
Jumatano
16/04/2014
Kufunga Kifaa cha Umeme na Kukata Matawi ya Miti Yanayozonga Njia ya Msongo Mkubwa wa Umeme
3:00Asubuhi-11:00Jioni
Maeneo ya Karakata,Sitakishari kwa wachina,Karakata Kilimani Pub,Karakata kwa mama Shoo,Ukonga,Mongo la Ndege,Ulongoni,Pugu,Kisarawe,Kiwanda cha Namera ,KIU,JWTZ Gongo la Mboto,TRC Pugu Station na maeneo ya jirani.
Alhamisi
17/04/2014
Kubadilisha Nguzo za Transfoma zilizooza na Kukata matawi ya Miti kwenye Njia ya Msongo mkubwa wa Umeme.
3:00Asubuhi-11:00Jioni
Maeneo ya Kitunda,Kipunguni A,Kipunguni Mashariki,JWTZ Kitunda,Maeneo ya Kivule,Mwanagati,Kibeberu,Nyantira,Magore Magereza Ukonga,Ukonga Mwembe madafu,Ukonga Mombasa,Ukonga FFU,Ukonga banana na maeneo ya Jirani.
Kwa Matukio ya Dharura Tafadhali Piga
022 213 3330, 0784 768586, Ilala Regional office, (Call centre numbers) 022-2194400 au 0768 985 100
Shirika Linasikitika Kwa usumbufu Wowote unaoweza Kujitokeza.
Limetolewa na :    Ofisi ya Uhusiano
                                     Tanesco-Makao Makuu
                   

No comments:

Post a Comment