Pages

April 16, 2014

KATIZO LA UMEME KINONDONI KASKAZINI

Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE:
SABABU: 
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA 
Jumatano
16,April,2014
3 Asubuhi-11 Jioni                                               
Matengenezo, Kukata miti, kubadilisha Nguzo zilizooza.
Tunisia, Kinondoni and Msese roads,Tazara club, Kaunda, Barabara ya Kenyatta, Mtaa wa Laiboni, Stanbic bank/Ocean front, Kinondoni shamba na Ada estate.
Alhamisi
17,April,2014
3 Asubuhi-11 Jioni
Matengenezo, Kukata miti, kubadilisha Nguzo zilizooza.
Kiwanda cha Magodoro Dodoma, Kays Hygine products, Coca cola Kwanza, BIDCO, Soza plastics, Quality plastics, na Maeneo ya Jirani.
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo 022 2700367, 0784 768584,  0716 768584 Au Call centre namba 2194400.
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:   OFISI YA UHUSIANO,
                         TANESCO-MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment