Pages

May 2, 2014

MKOA WA ILALA

TAARIFA YA KUHAMISHWA KWA OFISI  YA GONGO LA MBOTO
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Ilala linapenda Kuwaarifu wateja wake Wote wa Wilaya ya Gongo la Mboto kuwa Ofisi ya Gongo la Mboto imehamia Maeneo ya Ukonga Mkabala na Gereza la Ukonga Kuanzia tarehe 2/05/2014. Ofisi zipo mita 200 kutoka barabara ya Nyerere (Pugu Road) baada ya mwinuko wa kuibukia gereza kuu la Ukonga mchepuko wa  barabara ya kulia.
Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo: Dawati la Huduma za Dharura (Ilala) - 022 213 3330, 0784 768586,0715 76 85 86 au kituo cha huduma kwa wateja namba 2194400  au 0768 985 100, dawati la Huduma za Dharura (Gongo la Mboto) - 0688 001071 au 0715 768584
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na:   OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment