Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Temeke kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama
ifuatavyo:-
TAREHE: 10/07/2014, 12/07/2014 na
13/07/2014
MUDA: 03:00 Asubuhi – 12:00 Jioni
SABABU:
Matengenezo katika kituo
cha kupoza umeme cha kurasini; kubadilisha nguzo mbovu maeneo ya changombe,
kukata miti inayogusa umeme kwenye umeme wa 33kv na 11kv; kuunga mteja mpya wa Kisarawe
-2 Tuangoma
MAENEO
YATAKAYOATHIRIKA:
TAREHE 10, JULY 2014
MJIMWEMA, KIBADA, KIMBIJI,
GEZAULOLE, KIBUGUMO, MIKWAMBE, UNGINDONI,
KIVUKONI, FULL-SHANGWE, KWA MWINGINRA AREASINCLUDING ALL BEACH
TAREHE: 12 July 2014
MAENEO
YOTE YA KURASINI, KIGAMBONI, MBAGALA, TUANGOMA, KONGOWE NA MKURANGA
TAREHE: 13 July 2014
VIWANDA
VYA CHANG’OMBE KWENYE 11KV PAMOJA NA KIOO, KONYAGI, SERENGETI, PLASCO,
INSIGNIA, BISCUT, TCC, BORA, MANSOORDAYA, BINFIJA, TTCL NYERERE ROAD NA MAENEO
YA JIRANI
Tafadhali
usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo 2138352; 0712052720;
0758880155 au namba hii ya kituo cha huduma kwa Wateja 2194400 au 0786985100.
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote
utakaojitokeza.
Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment