Pages

August 13, 2014

KATIZO LA UMEME MKOA WA ILALA



Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Ilala kuwa    kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:       Ijumaa 15/08/2014
                    
MUDA:           Saa 3:00 Asubuhi - 11:00 Jioni

SABABU:       Kubadilisha nguzo zilizooza za line kubwa na kukata miti chini ya line kubwa.

MAENEO  YATAKAYOATHIRIKA:
Tabata Liwiti, Tabata Bima, Tabata Kimanga, TabataKkisiwani, Tabata Kisukuru na maeneo ya Tabata Makoka.

Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo:  Ofisi ya Mkoa  Ilala: 0715768586, 0784768586, 0222133330, 0222111044-5 au namba ya huduma kwa wateja  022-2194400 au 0768 985 100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza


Imetolewa na:  OFISI YA UHUSIANO,
                          TANESCO – MAKAO MAKUU.                      

No comments:

Post a Comment