Mkurugenzi wa Habari Serikalini Bw. Assah Mwambene akisisitiza jambo, kushoto ni Kaimu Meneja Uhusiano Tanesco Bw.Adrian Severin. |
Kaimu Meneja Uhusiano Tanesco Bw.Adrian Severin akitoa maelezo kwa Mkurugenzi wa Habari Serikalini Bw. Assah Mwambene na wafanyakazi wa uhusiano (hawapo pichani) |
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Serikalini Bw. Assah Mwambene akibadilishana mawazo na Kaimu Meneja Uhusiano Tanesco Bw. Adrian Severin. |
Mkurugenzi wa Habari Maelezo Bw. Assah Mwambene, wafanyakazi wa Tanesco wakifuatilia maada inayotolewa na Kaimu Meneja Uhusiano Bw. Adrian Severin (hayupo pichani) |
No comments:
Post a Comment